Home

Pangani FM has become one of UZIKWASA’s strongest media tool, reinforcing every other component of our intervention package. The radio covers Pangani District, parts of Zanzibar, and will soon reach most of Tanga region. Through live broadcasting of community events and through interactive radio programs Uongozi wa Mguso (Leadership that touches) Sauti ya Mwanamke (Women’s Voice) Leaders Talk and Youth Talk, Pangani FM provides a platform for communities to engage in a continuous dialogue about pressing social issues.

RECENT POST
 • JESHI LA POLISI PANGANI LAVALIA NJUGA SWALA LA UKATILI KWA WATOTO.

  JESHI LA POLISI PANGANI LAVALIA NJUGA SWALA LA UKATILI KWA WATOTO.

  Jeshi la Polisi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza zoezi maalum la kutoa elimu ya mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wilayani humo. Zoezi hilo limejiri kama hatua dhidi ya kuongezeka kwa matukio ya ukatili Wilayani humo.Siku za karibuni …
 • TAKUKURU PANGANI BEGA KWA BEGA NA USHIRIKA KUIFUFUA ‘UVIPASA’

  TAKUKURU PANGANI BEGA KWA BEGA NA USHIRIKA KUIFUFUA ‘UVIPASA’

  Wanachama wa  SACCOS ya vijana wilayani pangani mkoani tanga (UVIPASA) wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbali mbali za uongozi ilikuhakisha SACOSS hiyo inakua endelevu na kuwanufaisha wananchi kiuchumi. Wito huo umetolewa na afisa ushirika wilayani pangani bwana Johson kaaya ambapo amesema kuwa …
 • BWENI YAIBUKA MSHINDI KIJIJI BORA PANGANI 2020.

  BWENI YAIBUKA MSHINDI KIJIJI BORA PANGANI 2020.

  Kijiji  cha cha Bweni wilayani Pangani mkoani Tanga kimeibuka kuwa washindi kwenye shindano la Kijiji bora linaloratibiwa na shirika la UZIKWASA. Tamasha la ugawaji tuzo kwa ajili ya Vijiji bora katika mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake  na watoto wilayani Pangani …
 • MIAKA 10 GEREZANI KWA KUJARIBU KUBAKA.

  MIAKA 10 GEREZANI KWA KUJARIBU KUBAKA.

  Mahakama ya Wilaya Pangani imemuhukumu mtu mmoja mwanaume anayefahamika kwa jina TUMAINI WILLIAM maarufu kama ALAS LOLIOSE,kifungo cha miaka 10 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka kujaribu kubaka pamoja na shambulio la aibu. Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 10 2020. …
 • WAWILI WAFUNGWA MAISHA KWA MAKOSA YA UBAKAJI PANGANI.

  WAWILI WAFUNGWA MAISHA KWA MAKOSA YA UBAKAJI PANGANI.

  Mahakama ya wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imemhukumu mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina MBWANA SEFU mwenye umri wa miaka 28 kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia katika shtaka la ubakaji. Hukumu hiyo imetolewa Novemba 5 2020. Katika hati …
 • KAMATI ZA B.M.U WILAYANI PANGANI ZAING’ARISHA PANGANI KITAIFA.

  KAMATI ZA B.M.U WILAYANI PANGANI ZAING’ARISHA PANGANI KITAIFA.

  Katibu mkuu wizara ya mifugo na uvuvi nchini Tanzania leo Novemba 16 2020  amefanya ziara ya siku moja wilayani pangani mkoani tanga na kukagua miradi na shughuli mbali mbali  za  uvuvi zinazoendelea wilayani humo . Akiwa ziarani wilayani pangani katibu mkuu …