RADIO DARASA NA PANGANI FM.

π‘π€πƒπˆπŽ 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀
Leo Mei 18 Pangani FM Radio kwa kushirikiana na Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi za Pangani wamezindua Rasmi kipindi maalumu cha Radio kilichopewa Jina
π‘π€πƒπˆπŽ 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀 kipindi chenye lengo la kuwawezesha wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari ambao wamelazimika kubaki nyumbani kutokana na Janga la Virusi vya Corona kuweza Kujifunza kupitia Radio.

Kipindi kitakuwa cha muda wa saa mbili kuanzia saa 5 kamili Asubuhi Mpaka saa 7 kamili Mchana.

Pamoja na Kujifunza pia wanafunzi watapata Nafasi ya Kuuliza maswali kwa waalimu moja kwa moja kwa njia ya Simu.

π‘΄π’˜π’‚π’π’‚π’‡π’–π’π’›π’Š π‘Ίπ’‰π’Šπ’Œπ’‚ π‘²π’‚π’π’‚π’Žπ’– π‘Άπ’π’ˆπ’†π’›π’‚ π‘Ίπ’‚π’–π’•π’Š π’šπ’‚ π‘Ήπ’‚π’…π’Šπ’

π‘΄π’›π’‚π’›π’Š π’Žπ’‘π’† 𝑴𝒕𝒐𝒕𝒐 π‘Ήπ’‚π’…π’Šπ’ 𝑫𝒂𝒓𝒂𝒔𝒂 π’π’Šπ’†π’π’…π’†π’π’†