
Month: September 2020


PANGANI FM YAENDELEA KUWA KIDEDEA TUZO ZA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI NCHINI (EJAT)
Mwandishi wa Habari toka kituo cha Radio Pangani FM Rajabu Mustapha Mrope ametangazwa mshindi katika Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania EJAT kwa Mwaka 2019 katika kipengele cha Utalii. Mwandishi wa Habari wa ....

KWA KINA MAANA YA TABAKA OZONI NA NAMNA LINAVYOATHIRI MAISHA YETU.
Karibu kusikiliza Makala ya Nitunze Nikutunze. Makala hii huruka kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 1 na Nusu Usiku kupitia Pangani FM ikiwa kwa lengo la kujadili Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi na kutafuta ....

WANAFUNZI 1379 WILAYANI PANGANI WANATARAJIA KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA MWAKA 2020.
Wazazi na walimu wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuwawezesha kimasomo wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mitihani ya Darasa la saba mwezi Oktoba Mwaka huu ili kuongeza kiwango cha ufaulu. Akizungumza na Pangani FM ofisini kwake mkurugenzi wa ....

WANANCHI PANGANI WAASWA KUJIUNGA NA BIMA YA CHF
Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga wameaswa kuwa na mwamko wa kujiunga na bima ya afya ya jamii yaani CHF iliyoboreshwa ili kuwa na uhakika wa upatikanaji wa matibabu bora. Hayo yamezungumzwa na Mganga Mfawidhi wa ....

HOSPITALI YA WILAYA PANGANI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA TOKA KWA WATANZANIA WAISHIO UJERUMANI.
Hospitali ya Halmshauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepokea vifaa mbalimbali vya Hospitali kutoka kwa wazawa wa Pangani, watanzania na wadau mbalimbali wanaoishi nchini Ujerumani ili kusaidia utoaji wa huduma bora kwa Wananchi. ....

WAMILIKI WA SILAHA ZA MOTO PANGANI KUPEWA MAFUNZO.
Wamiliki wa silaha za moto za kiraia pamoja na makampuni ya ulinzi wilayani pangani Mkoani Tanga wametakiwa kujitokeza katika ofisi za kata zao ili wapatiwe utaratibu wa namna ya kushiriki katika mafunzo ya umahiri juu ....

TAKUKURU PANGANI YAMUOKOA MWALIMU MSTAAFU NA KUMREJESHEA FEDHA TOKA KWENYE ‘MKOPO UMIZA’ WA RIBA YA 300%
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Pangani Mkoani Tanga imefanikiwa kurejesha kiasi cha Fedha shilingi milioni nne na Laki Nne (4,400,000/= ) kwa bwana Hatibu Fue Mkanza ambaye ni Mwalimu mstaafu, fedha ....

TAKUKURU YAFANIKIWA KUOKOA NA KUREJESHA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 12 ZA SACCOS YA VIJANA PANGANI.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Pangani mkoani Tanga imefanikiwa kuokoa na kuwarejeshea fedha Wananchi kutoka kwenye uongozi wa zamani wa SACOSS ya UMOJA WA VIJANA PANGANI (UVIPASA). Fedha hizo ni Shilingi ....

WANANCHI MADANGA WALALAMIKIA UBOVU WA BARABARA YA MWEMBENI-BUSHIRI
Wananchi wa kijiji cha Madanga Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamelalamikia ubovu wa barabara kutoka eneo la Mwembeni Madanga hadi Bushiri hali inayopelekea mabasi ya abiria kutofika kijijini hapo na kuleta usumbufu kwa wananchi hao. Wakizungumza ....