TAKUKURU YAFANIKIWA KUOKOA NA KUREJESHA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 12 ZA SACCOS YA VIJANA PANGANI.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Pangani mkoani Tanga imefanikiwa kuokoa na kuwarejeshea fedha Wananchi kutoka kwenye uongozi wa zamani wa SACOSS ya UMOJA WA VIJANA PANGANI (UVIPASA). Fedha hizo ni Shilingi Milioni Kumi na sita laki tano Themanini na Tano Elfu,Mia Nne Arobaini na Tatu (12,585,443/=) ambazo zilitolewa na Halmashauri¬† ya … Continue reading TAKUKURU YAFANIKIWA KUOKOA NA KUREJESHA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 12 ZA SACCOS YA VIJANA PANGANI.