
KARIBU MILIONI 500 ZATUMIKA KUKARABATI KIVUKO CHA MV PANGANI II
Katibu mkuu wa kitengo cha Ujenzi kutoka wizara ya ujenzi uchukuzi na mawasiliano nchini Tanzania Arch ELIUS MWAKALINGA leo amezindua na kukabidhi kivuko cha Mv PANGANI II kwa wakala wa ufundi na umeme TEMESA Mkoa ....