
WAKULIMA WA MINAZI PANGANI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA.
Wakulima wa zao la Minazi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kutumia Mvua za vuli kupanda Miche mipya ili kulifufua zao hilo wilayani humo. Akizungumza wakati akiwa katika kipindi cha Makutano kinachorushwa na kituo hiki afisa ....