
TAKUKURU PANGANI BEGA KWA BEGA NA USHIRIKA KUIFUFUA ‘UVIPASA’
Wanachama wa SACCOS ya vijana wilayani pangani mkoani tanga (UVIPASA) wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbali mbali za uongozi ilikuhakisha SACOSS hiyo inakua endelevu na kuwanufaisha wananchi kiuchumi. Wito huo umetolewa na afisa ushirika wilayani pangani ....