
JESHI LA POLISI PANGANI LAVALIA NJUGA SWALA LA UKATILI KWA WATOTO.
Jeshi la Polisi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza zoezi maalum la kutoa elimu ya mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wilayani humo. Zoezi hilo limejiri kama hatua dhidi ya kuongezeka kwa matukio ....