Skip to content
  • 1:48 am
  • Tuesday
  • March 9, 2021
  • Home
  • Blog
  • Contact Us.

107.7 Pangani FM

Latest News
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI PANGANI WAONYWA KUJIHUSISHA NA USHABIKI WA SIASA  |  
Wanawake Pangani waadhimisha siku ya Maombi.  |  
TANGA UWASA Kufufua Visima vya Maji Pangani.  |  
MARUFUKU KUTUMIA VITI VYA WANAFUNZI KWENYE MIKUTANO YA VIJIJI PANGANI.  |  
CHUMO LA WIKI  |  
KIJANA WA MIAKA 25 MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 6.  |  
ZAIDI YA MILIONI 65 ZIMETOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU PANGANI.  |  
IDADI KUBWA YA WACHEZAJI WA KIGENI YATAJWA KUDIDIMIZA SOKA LA PANGANI.  |  
VIJANA WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA KOSA LA KUPIGA BARUTI PANGANI  |  
KIPUMBWI YAPOKEA KONTENA LA OFISI YA BANDARI.  |  
MCHAKATO WA UJENZI WA SOKO KUBWA LA SAMAKI KIPUMBWI WAANZA RASMI.  |  

Month: January 2021

MARUFUKU KUTUMIA VITI VYA WANAFUNZI KWENYE MIKUTANO YA VIJIJI PANGANI.

January 18, 2021 Pangani FM

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepiga Marufuku Matumizi yaViti na Madawati ya Shule kwenye Mikutano ya Viijiji. Katazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje wakati ....

Continue reading
Blog ELIMU

CHUMO LA WIKI

January 10, 2021 Pangani FM

Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na ....

Continue reading
Blog Leave a Comment on CHUMO LA WIKI

KIJANA WA MIAKA 25 MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 6.

January 10, 2021January 10, 2021 Pangani FM

Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga linamshikilia kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ramadhani Omari mwenye umri wa miaka 25 Mkazi wa Wilaya ya Pangani kwa tuhuma za kumbaka binti mdogo wa miaka sita. ....

Continue reading
Blog UBAKAJI

ZAIDI YA MILIONI 65 ZIMETOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU PANGANI.

January 5, 2021 Pangani FM

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanikiwa kutoa Mikopo ya zaidi ya Shilingi Milioni 65 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu katika kipindi cha nusu ya Mwaka wa fedha ....

Continue reading
Blog

IDADI KUBWA YA WACHEZAJI WA KIGENI YATAJWA KUDIDIMIZA SOKA LA PANGANI.

January 4, 2021 Pangani FM

Katika kusaidia kukuza soka la wilaya,Kocha mkuu wa timu ya ‘SAKURA KIDS Bwana Joackim Raphael amesema miongoni mwa vitu vinavyouwa mpira wa Pangani kwa sasa ni pamoja na baadhi ya timu kutumia idadi kubwa ya ....

Continue reading
Blog

VIJANA WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA KOSA LA KUPIGA BARUTI PANGANI

January 4, 2021 Pangani FM

Jeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga linawashikilia Vijana watatu wakazi wa Pangani Mjini kwa kosa la kupiga Baruti usiku wa kuamkia 1/1/2021 katika eneo la Mnyongeni kwa Mfuga Mbwa. Hayo yamezungumzwa na kamanda wa ....

Continue reading
Blog

KIPUMBWI YAPOKEA KONTENA LA OFISI YA BANDARI.

January 2, 2021January 1, 2021 Pangani FM

Uongozi wa Kitongoji cha Kipumbwi Mji Mpya kilichopo Kijiji cha Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamepokea Kontena litakalotumika kama Ofisi ya bandari hiyo. Akithibitisha kupokea kontena hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Bwana ....

Continue reading
Blog

MCHAKATO WA UJENZI WA SOKO KUBWA LA SAMAKI KIPUMBWI WAANZA RASMI.

January 1, 2021January 1, 2021 Pangani FM

Zoezi la utafiti wa awali kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la Samaki katika kata ya Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza hapo jana kwa wataalam kutoka wizara ya Mifugo na Uvuvi kutembelea eneo linaloratajiwa ....

Continue reading
Blog
Video Spot
https://www.youtube.com/watch?v=lM-UdMT3gw0&t=1s
https://youtu.be/uP2znvRsKN4
https://youtu.be/oexRD6rouFc
https://youtu.be/nFdBPMjdP7Y
Matokeo Ya Mechi.
March 7, 2021
Athletic Bilbao 2 - 1 Granada
Real Sociedad 1 - 0 Levante
Atlético de Madrid 1 - 1 Real Madrid
Huesca 3 - 4 Celta Vigo
March 6, 2021
Osasuna 0 - 2 Barcelona
Cádiz 1 - 0 Eibar
Elche 2 - 1 Sevilla
Real Valladolid 2 - 1 Getafe
March 5, 2021
Valencia 2 - 1 Villarreal
March 1, 2021
Real Madrid 1 - 1 Real Sociedad
Msimamo Kwenye Ligi
# Team P W D L F A G
1 Atlético de Madrid 59 18 5 2 48 17 +31
2 Barcelona 56 17 5 4 57 22 +35
3 Real Madrid 54 16 6 4 44 21 +23
4 Sevilla 48 15 3 7 35 20 +15
5 Real Sociedad 45 12 9 5 43 21 +22
6 Real Betis 39 12 3 10 33 38 -5
7 Villarreal 37 8 13 5 34 29 +5
8 Athletic Bilbao 33 9 6 10 36 29 +7
9 Celta Vigo 33 8 9 9 34 40 -6
10 Granada 33 9 6 11 32 44 -12
Next Fixture
January 17, 2021
Aston Villa 3:00 AM Everton
March 8, 2021
West Ham United 11:00 PM Leeds United
March 10, 2021
Manchester City 9:00 PM Southampton
March 12, 2021
Newcastle United 11:00 PM Aston Villa
March 13, 2021
Leeds United 3:30 PM Chelsea
Crystal Palace 6:00 PM West Bromwich Albion
Everton 8:30 PM Burnley
Fulham 11:00 PM Manchester City
March 14, 2021
Southampton 3:00 PM Brighton & Hov…
Leicester City 5:00 PM Sheffield United
Calendar
January 2021
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
« Dec   Mar »
107.7 Pangani FM | © 2021