
ZAIDI YA MILIONI 65 ZIMETOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU PANGANI.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanikiwa kutoa Mikopo ya zaidi ya Shilingi Milioni 65 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu katika kipindi cha nusu ya Mwaka wa fedha ....