CHUMO LA WIKI
Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na ....

Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga linamshikilia kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ramadhani Omari mwenye umri wa miaka 25 Mkazi wa Wilaya ya Pangani kwa tuhuma za kumbaka binti mdogo wa miaka sita. ....