
MARUFUKU KUTUMIA VITI VYA WANAFUNZI KWENYE MIKUTANO YA VIJIJI PANGANI.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepiga Marufuku Matumizi yaViti na Madawati ya Shule kwenye Mikutano ya Viijiji. Katazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje wakati ....