Skip to content
  • 8:45 pm
  • Sunday
  • April 11, 2021
  • Home
  • Blog
  • Contact Us.

107.7 Pangani FM

Latest News
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI PANGANI WAONYWA KUJIHUSISHA NA USHABIKI WA SIASA  |  
Wanawake Pangani waadhimisha siku ya Maombi.  |  
TANGA UWASA Kufufua Visima vya Maji Pangani.  |  
MARUFUKU KUTUMIA VITI VYA WANAFUNZI KWENYE MIKUTANO YA VIJIJI PANGANI.  |  
CHUMO LA WIKI  |  
KIJANA WA MIAKA 25 MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 6.  |  
ZAIDI YA MILIONI 65 ZIMETOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU PANGANI.  |  
IDADI KUBWA YA WACHEZAJI WA KIGENI YATAJWA KUDIDIMIZA SOKA LA PANGANI.  |  
VIJANA WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA KOSA LA KUPIGA BARUTI PANGANI  |  
KIPUMBWI YAPOKEA KONTENA LA OFISI YA BANDARI.  |  
MCHAKATO WA UJENZI WA SOKO KUBWA LA SAMAKI KIPUMBWI WAANZA RASMI.  |  

Author: Pangani FM

Wanawake Pangani waadhimisha siku ya Maombi.

March 5, 2021 Pangani FM

Wanawake wa madhehebu mbalimbali ya  Kikristo  wilayani Pangani mkoani Tanga leo wameshiriki katika  maadhimisho ya siku ya maombi ya Wanawake duniani yenye lengo la kuombea Amani na mambo mengine. Akizungumza na PANGANI FM  mchungaji FELIX ....

Continue reading
Uncategorized WANAWAKE

TANGA UWASA Kufufua Visima vya Maji Pangani.

March 2, 2021 Pangani FM

Mamlaka ya usimamizi wa Maji  Wilayani Pangani kupitia TANGA UWASA imejipanga katika uboreshaji wa miundombinu ya umeme ili kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji wilayani hapa. Hayo yameelezwa na Meneja wa maji TANGA UWASA Ndugu ....

Continue reading
Uncategorized MAJI Leave a Comment on TANGA UWASA Kufufua Visima vya Maji Pangani.

MARUFUKU KUTUMIA VITI VYA WANAFUNZI KWENYE MIKUTANO YA VIJIJI PANGANI.

January 18, 2021 Pangani FM

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepiga Marufuku Matumizi yaViti na Madawati ya Shule kwenye Mikutano ya Viijiji. Katazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje wakati ....

Continue reading
Blog ELIMU

CHUMO LA WIKI

January 10, 2021 Pangani FM

Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na ....

Continue reading
Blog Leave a Comment on CHUMO LA WIKI

KIJANA WA MIAKA 25 MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 6.

January 10, 2021January 10, 2021 Pangani FM

Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga linamshikilia kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ramadhani Omari mwenye umri wa miaka 25 Mkazi wa Wilaya ya Pangani kwa tuhuma za kumbaka binti mdogo wa miaka sita. ....

Continue reading
Blog UBAKAJI

ZAIDI YA MILIONI 65 ZIMETOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU PANGANI.

January 5, 2021 Pangani FM

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanikiwa kutoa Mikopo ya zaidi ya Shilingi Milioni 65 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu katika kipindi cha nusu ya Mwaka wa fedha ....

Continue reading
Blog

IDADI KUBWA YA WACHEZAJI WA KIGENI YATAJWA KUDIDIMIZA SOKA LA PANGANI.

January 4, 2021 Pangani FM

Katika kusaidia kukuza soka la wilaya,Kocha mkuu wa timu ya ‘SAKURA KIDS Bwana Joackim Raphael amesema miongoni mwa vitu vinavyouwa mpira wa Pangani kwa sasa ni pamoja na baadhi ya timu kutumia idadi kubwa ya ....

Continue reading
Blog

VIJANA WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA KOSA LA KUPIGA BARUTI PANGANI

January 4, 2021 Pangani FM

Jeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga linawashikilia Vijana watatu wakazi wa Pangani Mjini kwa kosa la kupiga Baruti usiku wa kuamkia 1/1/2021 katika eneo la Mnyongeni kwa Mfuga Mbwa. Hayo yamezungumzwa na kamanda wa ....

Continue reading
Blog

KIPUMBWI YAPOKEA KONTENA LA OFISI YA BANDARI.

January 2, 2021January 1, 2021 Pangani FM

Uongozi wa Kitongoji cha Kipumbwi Mji Mpya kilichopo Kijiji cha Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamepokea Kontena litakalotumika kama Ofisi ya bandari hiyo. Akithibitisha kupokea kontena hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Bwana ....

Continue reading
Blog

MCHAKATO WA UJENZI WA SOKO KUBWA LA SAMAKI KIPUMBWI WAANZA RASMI.

January 1, 2021January 1, 2021 Pangani FM

Zoezi la utafiti wa awali kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la Samaki katika kata ya Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza hapo jana kwa wataalam kutoka wizara ya Mifugo na Uvuvi kutembelea eneo linaloratajiwa ....

Continue reading
Blog

Posts navigation

Older posts
Video Spot
https://www.youtube.com/watch?v=lM-UdMT3gw0&t=1s
https://youtu.be/uP2znvRsKN4
https://youtu.be/oexRD6rouFc
https://youtu.be/nFdBPMjdP7Y
Matokeo Ya Mechi.
April 11, 2021
Valencia 2 - 2 Real Sociedad
Villarreal 1 - 2 Osasuna
April 10, 2021
Real Madrid 2 - 1 Barcelona
Eibar 0 - 1 Levante
Athletic Bilbao 0 - 0 Deportivo Alavés
Getafe 0 - 1 Cádiz
April 9, 2021
Huesca 3 - 1 Elche
April 7, 2021
Real Sociedad 1 - 1 Athletic Bilbao
April 5, 2021
Barcelona 1 - 0 Real Valladolid
April 4, 2021
Sevilla 1 - 0 Atlético de Madrid
Msimamo Kwenye Ligi
# Team P W D L F A G
1 Real Madrid 66 20 6 4 53 24 +29
2 Atlético de Madrid 66 20 6 3 51 19 +32
3 Barcelona 65 20 5 5 69 26 +43
4 Sevilla 58 18 4 7 40 21 +19
5 Real Sociedad 47 12 11 7 47 31 +16
6 Real Betis 46 14 4 11 39 42 -3
7 Villarreal 46 11 13 6 43 33 +10
8 Levante 38 9 11 10 37 39 -2
9 Celta Vigo 37 9 10 10 38 44 -6
10 Athletic Bilbao 37 9 10 11 39 33 +6
Next Fixture
January 17, 2021
Aston Villa 4:00 AM Everton
April 11, 2021
Tottenham Hotspur 6:30 PM Manchester United
Sheffield United 9:00 PM Arsenal
April 12, 2021
West Bromwich Albion 8:00 PM Southampton
Brighton & Hov… 10:15 PM Everton
April 16, 2021
Everton 10:00 PM Tottenham Hotspur
April 17, 2021
Southampton 3:00 AM Crystal Palace
Newcastle United 2:30 PM West Ham United
Wolverhampton Wanderers 5:00 PM Sheffield United
April 18, 2021
Arsenal 3:30 PM Fulham
Calendar
April 2021
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Mar    
107.7 Pangani FM | © 2021