MARUFUKU KUTUMIA VITI VYA WANAFUNZI KWENYE MIKUTANO YA VIJIJI PANGANI.
No CommentsHalmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepiga Marufuku Matumizi yaViti na Madawati ya Shule kwenye Mikutano ya Viijiji. Katazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje wakati akizungumza na Kituo hiki, ambapo amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya kutumiwa kwa viti vya …Read More »CHUMO LA WIKI
No CommentsHuu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na mwangwi nayo yajazawa na sauti za walimu,wanafunzi ,kalamu, na kurasa za vitabu ama madaftari. Hata …Read More »KIJANA WA MIAKA 25 MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 6.
No CommentsJeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga linamshikilia kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ramadhani Omari mwenye umri wa miaka 25 Mkazi wa Wilaya ya Pangani kwa tuhuma za kumbaka binti mdogo wa miaka sita. Akizungumza na Pangani FM ofisini kwake Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Pangani ASP ELIJA MATIKU …Read More »ZAIDI YA MILIONI 65 ZIMETOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU PANGANI.
No CommentsHalmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanikiwa kutoa Mikopo ya zaidi ya Shilingi Milioni 65 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu katika kipindi cha nusu ya Mwaka wa fedha 2020/21. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo hiki leo Bi. Mariam Ally kutoka Idara hiyo …Read More »IDADI KUBWA YA WACHEZAJI WA KIGENI YATAJWA KUDIDIMIZA SOKA LA PANGANI.
No CommentsKatika kusaidia kukuza soka la wilaya,Kocha mkuu wa timu ya ‘SAKURA KIDS Bwana Joackim Raphael amesema miongoni mwa vitu vinavyouwa mpira wa Pangani kwa sasa ni pamoja na baadhi ya timu kutumia idadi kubwa ya wachezaji wa kigeni kwenye Ligi zinazoendelea wilayani Pangani hivyo kunyima nafasi kwa vijana wazawa kuonyesha …Read More »VIJANA WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA KOSA LA KUPIGA BARUTI PANGANI
No CommentsJeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga linawashikilia Vijana watatu wakazi wa Pangani Mjini kwa kosa la kupiga Baruti usiku wa kuamkia 1/1/2021 katika eneo la Mnyongeni kwa Mfuga Mbwa. Hayo yamezungumzwa na kamanda wa Polisi wilaya ya Pangani Mrakibu mwandamizi wa Polisi SSP Ramadhani Kitanto ambapo amesema kuwa wanawashikilia …Read More »KIPUMBWI YAPOKEA KONTENA LA OFISI YA BANDARI.
No CommentsUongozi wa Kitongoji cha Kipumbwi Mji Mpya kilichopo Kijiji cha Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamepokea Kontena litakalotumika kama Ofisi ya bandari hiyo. Akithibitisha kupokea kontena hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Bwana JUMBE MRISHO ambaye ni Mwenyekiti wa kitongoji cha Kipumbwi Mji Mpya, mbali na kutoa Shukurani …Read More »MCHAKATO WA UJENZI WA SOKO KUBWA LA SAMAKI KIPUMBWI WAANZA RASMI.
No CommentsZoezi la utafiti wa awali kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la Samaki katika kata ya Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza hapo jana kwa wataalam kutoka wizara ya Mifugo na Uvuvi kutembelea eneo linaloratajiwa kufanyika ujenzi wa mradi huo. Akizungumza na Pangani FM wakati wa zoezi hilo Diwani wa …Read More »Tanga-UWASA YATOLEA UFAFANUZI KUKATIKA KWA MAJI PANGANI
No CommentsWananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuwa wavumilivu kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme ambayo imepelekea changamoto ya upatikanaji wa maji kutokuwa katika baadhi ya maeneo wilayni humo Akitoa taarifa kwa wananchi meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Pangani bwana FUSI JOHN amesema kuwa …Read More »HOSPITALI YA PANGANI YAPATA MASHINE YA X-RAY
No CommentsBaada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Pangani itaanza kutoa huduma ya X-Ray baada ya kukabidhiwa rasmi ashine ya huduma hiyo. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu Wilaya ya Pangani Bwana Maulid Majala amesema kwa sasa wananchi watapata huduma bora na nzuri hivyo …Read More »JESHI LA POLISI PANGANI LAVALIA NJUGA SWALA LA UKATILI KWA WATOTO.
No CommentsJeshi la Polisi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limeanza zoezi maalum la kutoa elimu ya mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wilayani humo. Zoezi hilo limejiri kama hatua dhidi ya kuongezeka kwa matukio ya ukatili Wilayani humo.Siku za karibuni Jeshi hilo limewashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za ubakaji …Read More »TAKUKURU PANGANI BEGA KWA BEGA NA USHIRIKA KUIFUFUA ‘UVIPASA’
No CommentsWanachama wa SACCOS ya vijana wilayani pangani mkoani tanga (UVIPASA) wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbali mbali za uongozi ilikuhakisha SACOSS hiyo inakua endelevu na kuwanufaisha wananchi kiuchumi. Wito huo umetolewa na afisa ushirika wilayani pangani bwana Johson kaaya ambapo amesema kuwa uchaguzi huo unalenga kuwapata viongozi imara watakao simamia ushirika …Read More »BWENI YAIBUKA MSHINDI KIJIJI BORA PANGANI 2020.
No CommentsKijiji cha cha Bweni wilayani Pangani mkoani Tanga kimeibuka kuwa washindi kwenye shindano la Kijiji bora linaloratibiwa na shirika la UZIKWASA. Tamasha la ugawaji tuzo kwa ajili ya Vijiji bora katika mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto wilayani Pangani limefanyika Leo Novemba 20 katika viwanja vya Bomani,ambapo mgeni …Read More »MIAKA 10 GEREZANI KWA KUJARIBU KUBAKA.
No CommentsMahakama ya Wilaya Pangani imemuhukumu mtu mmoja mwanaume anayefahamika kwa jina TUMAINI WILLIAM maarufu kama ALAS LOLIOSE,kifungo cha miaka 10 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka kujaribu kubaka pamoja na shambulio la aibu. Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 10 2020. katika hati ya mshataka iliyowasilishwa mahakamani hapo inadaiwa kuwa …Read More »WAWILI WAFUNGWA MAISHA KWA MAKOSA YA UBAKAJI PANGANI.
No CommentsMahakama ya wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imemhukumu mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina MBWANA SEFU mwenye umri wa miaka 28 kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia katika shtaka la ubakaji. Hukumu hiyo imetolewa Novemba 5 2020. Katika hati ya mashataka iliyowasilshwa na hakimu mahakamani hapo ilidaiwa kuwa …Read More »