Vijana Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kujitokeza katika kushiriki mafunzo ya uokozi ambayo yantolewa na jeshi la zima moto Mafunzo hayo yanatolewa katika eneo la ofisi ya kijiji cha pangani Pangani Mashariki ambapo jeshi hilo ....

Continue reading

𝗒𝗖𝗗 π—£π—”π—‘π—šπ—”π—‘π—œ : π—§π—¨π—¦π—œπ—™π—¨π—šπ—˜ π— π—œπ—™π—¨π—šπ—’ π—¬π—˜π—§π—¨ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π— π—œπ—§π—œ

Wafugaji wa kijiji cha boza Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameshauriwa kujenga maboma imara kwa ajili ya mifugo yao ili kudhibiti vitendo vya wizi wa mifugo vilivyoanza kutokea kijijini hapo.Hayo yamejiri katika kikao maalum kilichofanyika hii ....

Continue reading

RADIO DARASA NA PANGANI FM.

π‘π€πƒπˆπŽ 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀Leo Mei 18 Pangani FM Radio kwa kushirikiana na Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi za Pangani wamezindua Rasmi kipindi maalumu cha Radio kilichopewa Jinaπ‘π€πƒπˆπŽ 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀 kipindi chenye lengo la kuwawezesha wanafunzi wa ....

Continue reading